Namna ya kupata ushindi katika vita ya talaka

Musoma, pembezoni mwa Ziwa Victoria, palikuwa nyumbani kwa Anita, mwanamke mchapakazi na mwenye moyo wa upendo. Aliolewa na Bwana Simon, mfanyabiashara, ambaye mwanzoni mwa ndoa yao alikuwa mume mwenye kujali.

Miaka ilipozidi kusonga, kivuli kigumu kilianza kuingia katika maisha yao. Simon alianza kubadilika ghafla. Akawa mkali, mjeuri, na mara kwa mara alimshutumu Anita kwa mambo ya uongo, kiasi kwamba amani ilipotea kabisa nyumbani kwao.…CONTINUE READING