Kutana na Joyce ambaye alikuwa mwanamke mwenye bidii kutoka Mkoa wa Manyara, anayejulikana kwa tabasamu lake la upole na moyo wa kujituma. Alikuwa ameolewa kwa miaka kadhaa, na kwa nje maisha yao ya ndoa yalionekana kuwa tulivu na yenye upendo. Hata hivyo, kwa ndani ya moyo wake alibeba siri nzito ambayo ilikuwa ikimchosha kimwili na kiakili—changamoto ya ukavu katika uke wakati wa tendo la ndoa.
Mwanzoni, Joyce alidhani ni hali ya muda tu. Alijipa moyo kwamba labda ni msongo wa mawazo au uchovu wa kazi zake za kila siku. Lakini kadiri miezi ilivyopita, hali ilizidi kuwa mbaya. Kila walipojaribu kuwa karibu na mume wake, Joyce alikuwa na maumivu na kukosa raha kabisa. Alianza kujikuta akiepuka ukaribu, jambo lililoanza kuibua hali ya baridi na maswali katika ndoa yao.…CONTINUE READING