Zakayo alikuwa kijana mwenye ndoto kubwa kuliko milima ya Mbeya yenye wenyewe sura ya kuvutia. Alimaliza Chuo Kikuu kwa alama nzuri, akashika cheti chake kwa fahari, akiamini safari ya mafanikio ilikuwa inaanza. Alijiona tayari kuvaa suti kila siku, kuingia ofisini mapema, na kusaidia familia yake ambayo ilimlea kwa upendo mwingi ❤️.
Lakini maisha yalikuwa na mpango tofauti.…CONTINUE READING