Familia yetu iliwahi kuwa ya upendo na mshikamano hadi siku moja tukio moja likavunja kila kitu. Mjomba wangu alimkuta kaka yangu akiwa na mke wake.
Tukio hilo lilikuwa kama radi iliyopasua nyumba nzima. Maneno makali yakatamkwa siku hiyo na uhusiano ukafa papo hapo. Tangu hapo familia ikagawanyika vipande vipande na amani ikatoweka.…CONTINUE READING