Kwa muda mrefu nilikuwa nikibeba siri moyoni mwangu. Ndoa yetu ilikuwa na upendo lakini upande wa ukaribu haukuwa kama ulivyotarajiwa. Bwana yangu alikuwa anachoka haraka na mara nyingi alijilaumu kimya kimya. Nilijaribu kumfariji na kumtia moyo lakini niliona aibu na huzuni zikimvaa taratibu. Tuliepuka hata kuzungumzia mada hiyo kwa uwazi kwa hofu ya kuumizana.
Kadri siku zilivyopita hali ilianza kuathiri mahusiano yetu kwa ujumla. Mawasiliano yalipungua na furaha ya awali ikaanza kufifia. Nilihisi kama kuna ukuta kati yetu ingawa tulikuwa chini ya paa moja. Nilijua tatizo hili halikuwa la kubeza na lilihitaji msaada wa kweli bila kejeli wala hukumu.…CONTINUE READING