Maisha yangu yalibadilika ghafla kwa maneno machache lakini mazito. Bwanangu aliniambia wazi kuwa hakuwa tena na hamu nami kwa sababu ya harufu mbaya iliyokuwa ikinisumbua kwa muda. Nilijaribu kujitetea na kueleza kuwa nilikuwa natafuta suluhu lakini hakuwa tayari kunisikiliza. Siku chache baadaye alinifukuza nyumbani na kuniacha nikiwa nimevunjika moyo na aibu kubwa.
Tatizo hilo halikuwa jipya. Kwa muda mrefu nilikuwa nikihisi hali isiyo ya kawaida lakini nilikuwa naogopa kuzungumza. Nilijaribu njia mbalimbali nilizoambiwa na marafiki bila mafanikio. Kadri siku zilivyopita uvundo ulizidi kuninyima amani na kuathiri kujiamini kwangu. Nilijitenga na watu na hata nikaanza kuepuka mikusanyiko ya kifamilia.…CONTINUE READING