Nilifutwa Kazi Kwa Makosa Yasiyo Yangu Lakini Sasa Naimiliki Kampuni

Nilikuwa na kazi niliyopenda, nikifanya kila kitu kwa bidii na uaminifu. Lakini siku moja, bila onyo lolote, nilifutwa kwa sababu ya makosa ambayo sikuyafanya. Nilijaribu kuelezea, kuomba msamaha, hata kutoa ushahidi, lakini hakuna aliyesikiliza.

Nilihisi giza limeingilia maisha yangu, heshima yangu ilishuka, na matumaini yangu kuendelea mbele yalipungua. Hali ilikuwa ngumu. Nilijaribu kutafuta kazi nyingine, lakini kila ombi langu liliambiwa hapana.…CONTINUE READING