Kwa muda mrefu nilikuwa na swali ambalo sikuweza kumuuliza mtu waziwazi. Nilipata watoto wa kike niliowapenda sana, lakini moyoni nilitamani kupata mtoto wa kiume angalau mmoja.
Kila nilipojaribu kuzungumza hili, watu walinijibu kwa mzaha, wengine wakisema ni bahati tu, wengine wakaniambia nibahatisha hadi itokee. Ndani yangu, nilihisi lazima kuwe na njia sahihi zaidi ya hiyo.…CONTINUE READING