Nilipoingia kwenye ndoa, sikuwahi kufikiria siku moja ningejikuta nikipitia msukosuko wa aina hii. Kila mara nilipoligusia jambo la kuoa mke wa pili, mke wangu alikuwa mkali sana, akisema hataruhusu kabisa.
Niliheshimu msimamo wake, nikachagua kunyamaza na kuendeleza ndoa yetu kwa amani.
Lakini mambo yalianza kubadilika polepole. Alianza kuchelewa kurudi nyumbani, simu ikawa siri, na mapenzi yakapoa ghafla.…CONTINUE READING