Afanikiwa kuoa baada ya kuvunja vifungo vya ukoo!

Kijana machachari, Dulla alizaliwa katika kijiji kidogo nje ya mji wa Tabora, eneo lililojulikana kwa mashamba ya tumbaku, misitu ya miombo na utamaduni wa watu wenye upendo na mshikamano. Alikuwa kijana mchapakazi na mwenye heshima, lakini safari yake ya kupata mwenzi wa maisha haikuwa rahisi kama ya vijana wengine.

Katika ukoo wao kulikuwepo na imani za kale—vifungo vya kiukoo vilivyoaminika kuvuruga mambo ya ndoa kwa baadhi ya wanaume. Wazee wa ukoo walizungumza kimya kimya kuwa wanaume wachache walishawahi kupata shida hiyo, lakini hakuna aliyewahi kudhani kuwa Dulla angekuwa mmoja wao.…CONTINUE READING