Aliachwa na Mpenzi Wake Siku Moja Kabla ya Harusi Miezi Michache Baadaye Dunia Ilimshangaa

Siku ile nilihisi dunia imenishusha. Tulikuwa tumeandaa kila kitu kwa harusi yetu, watu walikuwa wamefika, sherehe ilikuwa karibu, na ndoto zangu zote zilikuwa tayari kutimia.

Kisha ghafla, mpenzi wangu alinieleza kuwa hataki kuendelea na harusi. Nilishangaa, kuchanganyikiwa, na haswa kulia ndani ya moyo wangu. Hakuna mtu aliyeweza kuelewa maumivu niliyohisi.…CONTINUE READING