Ingawa alikuwa msomi, alijisalimisha ili apate kazi

Katikati mwa jiji la Dar es Salaam, Ilala, aliishi Beka, kijana aliyefaulu masomo yake kwa kiwango cha juu kabisa katika mojawapo ya Vyuo Vikuu vinavyoheshimika nchini, akihitimu na shahada ya Uhazibu (Accounting) kwa daraja la kwanza, First Class Honours. Kwa akili yake kali, aliamini kwamba kazi nzuri ingemngoja mara tu atakapomaliza masomo.

Baada ya sherehe ya mahafali, Beka alirudi Ilala na kuanza mchakato wa kutuma maombi ya kazi kwa bidii kubwa. Alikuwa na sifa zote: ufaulu bora, ujuzi wa kompyuta, na ari ya kufanya kazi. Alituma maombi katika makampuni makubwa na madogo, akifanya usaili mmoja baada ya mwingine.…CONTINUE READING