Siku ile maumivu yalipoanza, nilidhani maisha yangu yamefika mwisho. Yalikuwa ya ghafla, makali, na hayakufanana na chochote nilichowahi kuhisi. Nilishindwa kusimama wima, jasho likanitoka, na kila pumzi ilikuwa kazi.
Nilizungushwa hospitali, nikafanyiwa vipimo, ndipo nikaambiwa nina mawe kwenye figo. Niliogopa. Nilichokisikia kichwani mwangu ni upasuaji, gharama, na mateso yasiyoisha.…CONTINUE READING