Miaka Nne Ndoani Bila Amani Kilichobadilika Baada ya Kuchukua Uamuzi Mmoja Kilinishangaza Mwenyewe

Nilikuwa nikiwa na ndoa ya miaka minne, lakini kila siku ilikuwa ni changamoto. Tulikuwa tukigombana mara kwa mara, hisia za hasira na huzuni zilijaza nyumba yetu. Kila jaribio la kuzungumza au kutafuta suluhisho lilimalizika kwa chuki na kuchukiana.

Nilihisi kwamba maisha yangu ya ndoa yalikosa maana na kila kitu kilikuwa kikienda mrama.
Hali ilikuwa mbaya kiasi kwamba nilianza kujiuliza kama nilikuwa nimechagua mke sahihi.…CONTINUE READING