Nilikuwa Najaribu Kila Kitu Kupandisha Biashara Bila Mafanikio Siri Moja Iliyoniletea Mafanikio ya Haraka

Nilipoanzisha biashara yangu, nilikuwa na matumaini makubwa. Nilifanya matangazo. Nikapunguza bei. Nikabadilisha eneo. Nikajaribu ushirikiano na watu mbalimbali. Lakini licha ya juhudi zote, wateja walikuwa wachache. Mauzo yalikuwa yanapanda leo na kushuka kesho.

Nilianza kuchoka kimwili na kiakili. Kila jioni nilihesabu hasara badala ya faida. Nilijiuliza kwa nini wengine wanafanikiwa haraka ilhali mimi nilikuwa nikipambana bila matokeo. Nilifikiri tatizo ni mtaji. Nikakopa. Nikidhani labda ni bidhaa. Nikabadili.…CONTINUE READING