Kulikuwa na kipindi ambacho amani ilinipotea ghafla. Hakukuwa na ugomvi mkubwa, ugonjwa uliotambulika, wala msiba uliotokea. Hata hivyo, nilikuwa na hofu isiyoelezeka, usingizi ulikatika, na moyo wangu haukutulia.
Nilifanya kila nilichodhani ni sahihi kupumzika, kujishughulisha, kuzungumza na watu wa karibu ila utulivu haukurudi. Kadri siku zilivyopita, nilianza kujiuliza maswali mengi. Kwa nini hali hii ilinijia bila dalili?…CONTINUE READING