Biashara yangu ilikuwa ikipata mapato mazuri kwa miaka kadhaa, lakini ghafla kila kitu kilibadilika. Wateja wangu walianza kupungua kwa kasi, mapato yangu yalishuka, na siku moja niligundua kuwa nimepoteza wateja wote wa kawaida.
Nilihisi kukosa udhibiti wa biashara yangu, na hofu ilianza kunishika. Nilijua kwamba ikiwa sitafanya kitu haraka, kila kitu nilichojenga kitakuwa kimeharibika. Nilijaribu njia mbalimbali kupiga matangazo.…CONTINUE READING